TIP TOP CONNECTION : ASLEY NA TEMBA WAJA NA MOVIE
Meneja wa kundi la Tip Top connection almaaarufu kama Hamisi Tale alias Babu Tale,amefunguka mara tu baada ya kuachia ngoma ya kundi "Riziki" kwamba wamerekebisha maskani yao ya TipTop Connection baada ya kutimiza miaka 10 kwenye
game la muziki, na kitu ambacho wanatarajia kukitoa hivi,sasa ni movie
yao mpya ambayo humo ndani kuna Dogo Asley na Mh Temba. MOVIE????
OWKEEEY.....tunaisubiri

Comments
Post a Comment