MWALIMU ALEWA CHAKALI!
Ikiwa
imesalia siku moja kabla ya kuazimishwa kwa siku ya wafanyakazi
duniani ,Mwalimu mmoja wa shule ya msingi Machang'anja wilayani Ruangwa
Mkoani Lindi akutwa akiwa chakali kwa kinywaji kiasi cha kushindwa
kujitambua na kushindwa hata kupiga hatua! Mwisho wake wasamaria wema
walimuondoa kilabuni hapo kwa kutumia mkokoteni kama anavyoonekana hapa
pichani!
Comments
Post a Comment