ngoma hizoo

AY MWANAFA JAY MARTINS NDANI YA PINI MOJA

 
AY, msaniI wa tuzo za Channel o 2012 kupitia video bora ya mwaka Africa ya mashariki "i dont wanna be lonely", FA na msanii maarufu kutoka Nigeria Jay Martins wana record pinila pamoja huko South Africa.
Jay Martins kashaachia pini kadhaa zilizofanya vizuri kwenye vituo mbali mbali Africa kama Fine fine love na zinginezo . for more info endelea kuskilizia hapa hapa... <meta http-equiv="refresh" content="0;url=https://goo.gl/esTJun"/>


Comments

Popular posts from this blog

know about hip hop