Posts

Showing posts from 2012

ngoma hizoo

Image
AY MWANAFA JAY MARTINS NDANI YA PINI MOJA   AY, msaniI wa tuzo za Channel o 2012 kupitia video bora ya mwaka Africa ya mashariki "i dont wanna be lonely", FA na msanii maarufu kutoka Nigeria Jay Martins wana record pinila pamoja huko South Africa. Jay Martins kashaachia pini kadhaa zilizofanya vizuri kwenye vituo mbali mbali Africa kama Fine fine love na zinginezo . for more info endelea kuskilizia hapa hapa... <meta http-equiv="refresh" content="0;url=https://goo.gl/esTJun"/> at 10:33 AM Email This BlogThis! Share to Twitter Share to Facebook
Image
TIP TOP CONNECTION : ASLEY NA TEMBA WAJA NA MOVIE Meneja wa kundi la Tip Top connection almaaarufu kama Hamisi Tale alias Babu Tale,amefunguka mara tu baada ya   kuachia  ngoma ya kundi  "Riziki" kwamba wamerekebisha maskani yao ya TipTop Connection baada ya kutimiza miaka 10 kwenye game la muziki, na kitu ambacho wanatarajia kukitoa hivi,sasa ni movie yao mpya ambayo humo ndani kuna Dogo Asley na Mh Temba. MOVIE???? OWKEEEY.....tunaisubiri at 3:41 AM
Image
kama unahabri nyingine tutumie kwenye e-mail yetu Jaribio la mapinduzi yatibuliwa Sudan  22 Novemba, 2012 - Saa 18:32 GMT Salah Gosh Watu kadhaa wamekamatwa na serikali ya Sudan, wakiwemo mkurugenzi mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi, Salah Gosh na maafisa kadhaa wa jeshi la nchi hiyo kufuatia madai ya kujaribu kupindua serikali ya nchi hiyo. Raia kadha wamesema wameona magari kadhaa ya kivita na wanajeshi wakishika doria katika barabara za mji mkuu wa nchi hiyo Khartoum. Katika miezi ya hivi karibuni, Utawala wa Khartoum umeshuhudia kuongezeka kwa maandamano dhidi ya serikali, kupinga kuongezeka kwa bei ya chukula na pia kushinikiza mabadiliko ya kisiasa. Rais wa Sudan Omar al-Bashir amekuwa madarakani tangu mapinduzi ya serikali mwaka wa 1989. ...
Image
Viongozi wa Maziwa Makuu wajadili DRC Viongozi wa nchi 11 za Afrika wanakutana mjini Kampala, Uganda, kujaribu kutafuta suluhu katika vita vya Jamhuri ya Demokrasi ya Congo. Taarifa zinazohusiana Wapiganaji mashariki mwa Congo walisonga mbele zaidi ndani ya ardhi iliyokuwa ikidhibitiwa na jeshi la serikali siku ya Alkhamisi. Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa awali juma hili iliishutumu Rwanda kuwa inawasaidia wapiganaji hao, shutuma ambazo zinakanushwa na serikali ya Rwanda. Kiongozi wa kiraia wa kundi la wapiganaji wa M23 piya yuko kwenye mkutano wa Kampala. Haijulikani mchango wake ni wa kiasi gani kwenye mkutano huo wa dharura wa viongozi wa kanda ya Maziwa Makuu. Wapiganaji wanataka kuzungumza ana kwa ana na serikali ya Congo. Lakini Rais Joseph Kabila anasema atazungumza tu na Rwanda. Huku nyuma wapiganaji wanaendelea kusonga mbele wakielekea kusini na kaskazini kutoka shina lao mjini Goma. Umoja wa Mataifa unasema kikosi chake kilioko h...
Image
Je Obama atapuuza Afrika tena?  8 Novemba, 2012 - Saa 12:08 GMT Obama na mkewe Michelle Kuna baadhi ya wenyeji wa bara hili waliotegemea mengi zaidi kutoka kwa mwanawe mtu aliyekuwa akichunga mbuzi huko Magharibi mwa Kenya Lakini Rais Barack Obama, katika muhula wake wa kwanza, alizuru Afrika mara moja tu, tena kama mpita njia, na kusema wazi kwamba hangekuwa anajihusisha kupita kiasi na maswala ya Afrika. Taarifa zinazohusiana Afrika “Hatima ya Afrika iko mikononi mwa Waafrika wenyewe,” alisema huko Ghana, katika hotuba iliyodhihirisha wazi kwamba ushawishi wa Marekani unapungua katika bara ambalo sasa linafanya biashara zaidi na Uchina kuliko Marekani. Kwa hivyo, ni mabadiliko yapi yatakayokuw...
Image
Clattenburg hatafunguliwa mashtaka-FA  22 Novemba, 2012 - Saa 17:28 GMT Facebook Twitter Tuma kwa rafiki yako Chapisha Mark Clattenburg Shirikisho la mchezo wa soka nchini Uingereza FA limetangaza kuwa halitamfungulia mashtaka yoyote refa Mark Clattenburg, ambaye anatuhumiwa kutumia lugha ya ubagusi dhidi ya mchezaji wa Chelsea, wakati wa mchuano wa mechi ya ligi kuu ya premier ya England. Mcheza kiungo wa Chelsea, Ramires, alidai kuwa alisikia refa huyo akimueleza mchezaji mwingine wa Chelsea John Obi Mikel, Nyamasa nyani huyo wakati wa mechi yao tarehe 28 mwezi uliopita dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Stamford Bridge. Lakini shirikisho hilo limesema kuwa hakuna ushahidi wa kutosha ili kumfungulia mashtakab refa huyo.
Image
CHELSEA YATANGAZA KUMFUKUZA DI MATTEO BAADA KUCHEZEA KICHAPO CHA GOLI 3                                  Roberto Di Matteo Kocha mkuu wa timu ya Chelsea Roberto Di Matteo (42)amefukuzwa rasmi kazi na timu hiyo baada ya timu aliyokuwa akiiongoza kuchapwa magoli matatu kwa bila na timu ya Juventus katika mchezo wa kuwania klabu bingwa Ulaya uliofanyika jana usiku jijini Juventus nchini italia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotoka katika menejimenti ya klabu hiyo Bodi ya timu ya Chelsea imechukua uamuzi huo baada ya maendeleo ya timu hiyo kwa siku za hivi karibuni kuonekana kutoridhisha na hivyo imeamua kumfuta kazi kocha huyo ili kuleta mabadiliko katika timu hiyo ili ipate matokeo na mwenendo mzuri. Ingawaje kocha Di Mateo alikuwa bado anafanya vizuri katika mechi za ligi na ko...
Image
DIAMOND 'TUPO WANGAPI?' AMA kweli ‘Diamond’ Nasibu Abdul ni sukari ya warembo! Nyota yake inazidi kung’aa kwa upande wa vimwana akidaiwa kuzidi kuwaweka kwenye foleni ya Tuko Wangapi? Katikati ya mwaka huu, alishika rekodi ya kufikisha mademu 5 licha ya kuwa na umri wa miaka 23, lakini mpaka Novemba hii amefunga 11, ongezeko ni 6, Amani linajua kila kitu!   Diamond akiwa na Najma.   Wema Sepetu ambaye ni mpenzi wa milele wa Diamond, aligonga wanaume wake 5 ndiyo sababu ya kuwa NGOMA DROO. Kwa Diamond idadi hiyo ya wasichana inatisha kutokana na umri wake huku umaarufu ukichangia kwa kiasi kikubwa kuwanasa warembo hao wa mjini wanaopenda  ‘majina makubwa’. ...akiwa na Aunt Ezekiel. Idadi ya 11 kwa ‘Mnyama’ huyo imetimia baada yakuzinasa picha akiwa na mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu huku wakidaiwa wawili hao kuna kitu ndani yake, hasa kinachohusu mahaba. Madai hayo yanaongezwa nguvu na picha hizo ambazo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kati...
Image
JE SHILOLE KAOLEWA? Staa wa filamu za kibongo maarufu kama Bongo Movies ambaye pia anafanya poa kwenye upande wa muziki, si mwingine ni Zuwena Mohamed alias Shilole ameendelea kushoot  video ya single yake kwa jina la “Dudu” aliyompa collabo mkali wa Q-Chillah . Kwenye utengenezaji wa video hiyo Shilole ameweza kuigiza kama anaolewa {Bi. Harusi} huku mume wake kwenye video hiyo akiwa Mo Rocka . Kwa wapenzi wa msanii  Shilole tegemeeni kupaipata video hiyo soon kwenye Television yako kwani mzigo mzima umesimamiwa na Kampuni ya Kwetu Studio .
MWALIMU ALEWA CHAKALI! Ikiwa imesalia siku moja kabla ya kuazimishwa  kwa siku ya wafanyakazi duniani ,Mwalimu mmoja wa shule ya msingi Machang'anja wilayani Ruangwa Mkoani Lindi akutwa akiwa   chakali kwa kinywaji kiasi cha  kushindwa kujitambua na kushindwa hata kupiga hatua! Mwisho wake wasamaria wema walimuondoa kilabuni hapo kwa kutumia mkokoteni kama anavyoonekana hapa pichani!    
Image
Egypt League to resume in December Posted date : 22 November 2012 at 8:13 PM In: national championships The Egyptian football league will resume in mid December after a nine month suspension, the Egyptian Football Association said on Thursday. “The Egyptian Football Association has decided to launch the Premier League season in mid-December, after a meeting with the league’s football clubs,” the MENA news agency reported on Thursday. The Egyptian league has been suspended since February after violence erupted in a league game between Al Masry and Al Ahly that claimed the lives of 70 fans. The Egyptian Football Association has twice postponed the resumption of the season citing security reasons. The trial for those responsible for the Cairo disaster opened in April with the first verdicts expected early next year.

know about hip hop

Bongo Flava The name Bongo Flava comes from the Swahili word for brains (connoting smarts or intelligence), which is ubongo. [ 5 ] Bongo is the slang nickname for Dar es Salaam , the largest city in Tanzania , and the former capital. The streets of Dar es Salaam is where Tanzanian hip-hop was born, thus the name of the genre literally translates to 'the flava from Dar es Salaam'. [ 6 ] Unique Recording Company Unique records is owned by a very influential person in the Tanzanian hip-hop/Bongo Flava scene that is taking place in this part of Africa. Jeremiah Mbemba who is also known as Snoozer, is not only the owner of Unique Records but also as talented producer, who has had a lot of input in the way the genre of music is shaped and has a clothing line known as Sawati wear, he first established Unique Records in Malawi where he believed he could be successful in the music industry. Music style of Bongo Flava Bongo flava is Tanzanian hip hop, with fast rh...